ROUND YA TANO YA SHINDANO LA DANCE 255 YATIKISA JAMHURI STADIUM

Makundi mbalimbali ya Dancers yakisubiri maamuzi ya majaji kuhusu kundi gani litoke na kundi gani libaki. Siku ya jana shindano la Dance 255 lilichukua Sura mpya baada ya Mchuoano Mkali wa Dancers kuwania nafasi ya kusonga mbele katika shindano la Dance 255. ANgalia video chini hapa:

0 comments: