Ni Kampuni mahususi kwa ajiri ya Kuendeshea Shughuri mbalimbali za sanaa na Michezo nchin Tanzania. Kampuni hii imesajiriwa BRELA na kupewa namba ya usajiri 125156 lakini pia ikiwa na Kibali cha Baraza la Sanaa la taifa Kibali namba 00138.
Kampuni hii imeonyesha dhamira ya dhati kuendesha shughuri mbalimbali za sanaa kwa kuanza na Mkoa wa Dodoma ambako inaendesha shindano la Dance 255.
Endelea kupata taarifa zaidi juu ya Kampuni ya Milennium Stars Entertainment kupitia Millennium Tv
0 comments: